Christina Shusho – Miujiza

Christina Shusho – Miujiza

Christina Shusho Miujiza Mp3 Download

Christina Shusho Miujiza Mp3 Download Gospel Music. Enrich your soul with the latest Gospel music representation by Tanzanian gospel musician, Christina Shusho in her latest song Miujiza.

Stream, Listen, and Download Christina Shusho Mp3 from GospelMusic2021.

DOWNLOAD Mp3: Christina Shusho – Miujiza

Lyrics; Miujiza

Sikwa bati mbaya uko hai leoNa sio kwamba wewe ni-mujanja kuliko wale walio lalaIla yote ni muujiza ya Mungu tuNi muujiza tuYou’re still alive
Nikilala niamkeMkiona natembeaMwenzenu kwangu ni muujizaAsubuhi kuna kunakuchaJioni ikiingiaMaisha yangu, mimi ni muujiza tu
Siku ikipitaMwezi na mwaka unakwishaMimi hee kwangu ni muujiza tuEeeeh Yesu, eeeh YesuBwana wangu weehWeeh kwangu ni muujiza
Mimi ni muujizaMaisha yangu ni muujizaEh BwanaWeeh kwangu ni muujizaNikilala ni muujiza (muujiza)Nikiamuka ni muujiza (naona muujiza)Eh Bwana, wewe kwangu ni muujiza
Kuna waliolalaHawakuamkaEh Bwana, naona ni muujizaWalionza safariHawakufikaMimi leo, najiona ni muujizaKuwa haiKutangaza neno lakoBwana kwangu, mimi ni muujizaSina sababuYa kunyamazaMaana kwangu, wewe Bwana ni muujiza
Mimi ni muujiza (muujiza)Maisha yangu ni muujiza (inapita muujiza)Eh Bwana (eeh Bwana)Weeh kwangu ni muujiza (eeh Bwana, muujiza)Nikilala ni muujiza (eeh muujiza)Nikiamuka ni muujiza (whoo)Eh Bwana (ooh-oh)Wewe kwangu ni muujiza (eeh yea)
Oh yeaOh yeaOh Yesu weehOh yeaOh Yesu weehYesu wangu, ooohHey yea yea yea
Mimi ni muujiza (muujiza)Maisha yangu ni muujiza (inapita muujiza)Eh Bwana (eeh Bwana)Weeh kwangu ni muujiza (kila kitu ni muujiza)Nikilala ni muujiza (eeh, ni muujiza)Nikiamuka ni muujiza (nasema ni muujiza)Eh Bwana (eeh Bwana)Wewe kwangu ni muujiza(Hey yea yea yea yea yea yea yea)
Mimi ni muujiza (muujiza)Maisha yangu ni muujiza (inapita ni muujiza)Eh Bwana (muujiza)Weeh kwangu (muujiza) ni muujiza (muujiza, eeh Bwana)Nikilala ni muujiza (muujiza!)Nikiamuka ni muujizaEh Bwana (eeh Bwana)Wewe kwangu ni muujiza